Mmoja wa Wanafunzi wa shahada ya
Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Dorry Michael
akipanda mti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu Mjini
Dodoma
Baadhi
ya wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) wameupokea mwaka Mpya 2013 kwa kushiriki katika zoezi la upandaji wa Miti katika
Shule ya Sekondari Itega iliyopo Nkuhungu, Wilaya ya Dodoma Mjini,
Mkoani Dodoma.
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa wanapanda Miti katika
Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu,Wilaya ya Dodoma Mjini
Mkoani Dodoma
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya
Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakipanda miti katika Shule
ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani
Dodoma
Picha Na Dorry Michael Wa Lukaza Blog UDOM



No comments :
Post a Comment