kuza biashara yako

kuza biashara yako

Pages

Friday, December 21, 2012

HUU NDIO MUONEKANO WA JENGO JIPYA LA CHUO CHA MIPINGO LENYE GHOROFA SABA.


Ni Jengo Jipya linalojengwa katika Chuo cha mipango Dodoma (IRDP) lenye ghorofa saba zikiwemo ofisi na madarasa. 
Hata hivyo huenda likawa ni ni miongoni mwa majengo marefu mkoani Dodoma.

No comments :

Post a Comment