Mwenyekiti wa Mkutano huo (College Baraza) Ambae pia ni Spika wa Bunge Mh Egubo Jason (Wapili kutoka kushoto) Akitoa Utaratibu juu ya kikao hicho.
Kutoka kulia ni Bw. Michael Mng'ang'a (waziri mkuu -cobeso), Mzee Kiwaya (Meneja wa Raslimali watu),Bw. Sikato ( Mshauri wa wanafunzi) , Kaimu makamu mkuu wa chuo (Mahimbo), Robert Mwitango (Rais Cobeso) na Egubo Jason (Spika wa Bunge na Mwenyekiti wa College baraza)
Wanachuo walio hudhuria wakifuatilia kwa makini kile kilichokuwa kinaendelea
Naibu spika akiwa amesimama mbele ya jopo la viongozi wa serikali ya wanachuo COBESO.
Muonekano wa Mahudhurio
Baadhi ya wakuu wa Idara walio hudhuria mkutano huo wakisikiliza kwa makini kile kilichokuwa kinaendelea
Rais wa Serikali ya Wanachuo Bw. Robert Daudi akijibu baadhi ya maswali kama serikali.
Kaimu makamu mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ndugu Mahimbo akitoa ufafanuzi juu ya masuala ya msingi yaliyo elekezwa kwake .
Muonekano wa Mahudhurio mkutano huo wa wanafunzi.
No comments :
Post a Comment