kuza biashara yako

kuza biashara yako

Pages

Tuesday, January 1, 2013

HIVI NDIVYO BAADHI YA WANAFUNZI WA UDOM WALIVYO UPOKEA MWAKA MPYA 2013.

Baadhi ya wanafuzi wa UDOM  wakiwa katika poz wakisubiri mwaka mpya kwa hamu na shauku ya hali ya juu
Muda ulipofika tuliweka shida chini na kuweka mikono juu na kubanjuka kinomanoma na  mambo yaliikuwa hiviiiii
 


 

 
 
 


 
 
 ilikuwa ni burudani kwa kwenda mbele.

 

 
Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka 2013 tunamuomba mwenyezi mungu atupe maisha marefu na yenye baraaka tele na atujaalie tuweze kutimiza malengo yetu.


Habari hizi ni kwa hisani  ya suleiman magoma blog

No comments :

Post a Comment