TASWIRA YA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI CBE -DODOMA WAKATI WAKICHUKUA MAFAO YAO...
Huu ni muonekano wa Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi CBE -Dodoma walipokuwa wakichukua mafao yao kila mtu kwa kadri alivyo itumikia serikali hiyo katika malipo ya awali semister ya kwanza wiki chache zilizopita.
No comments :
Post a Comment