
WAZIRI
MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI CBE (COBESO) DODOMA MH. MICHAEL (Kulia) AKIWA NA WAZIRI MKUU CBE DAR MH.
MARTHA,BRITON HOTEL ARUSHA KUSHIRIKI MKUTANO WA SERIKALI YA WANAFUNZI.
Vikao vya Serikali ya Wanafunzi CBE kwa kuhusisha kampus zote tatu (Dodoma,Dar es salaam na Mwanza) huenda vikamalizika leo jijini Arusha .
Vikao hivi vinahusisha kufanyika kwa mabadiliko ya katiba ya Serikali ya Wanafunzi ya Chuo hicho (COBESO) , Kutoka kila kampasi kuna ujumbe wa Rais,Waziri Mkuu, Spika/Naibu spika na Waziri wa katiba.
No comments :
Post a Comment