Cecilia korassa, Afisa Uhusiano wa mamlaka ya bandari, Tanga akipanda mti chuoni hapo
Maafisa wa habari, mawasiliano na
uhusiano wa serikali ambao wapo mjini Dodoma kwa ajili ya kikao kazi
kinachoendelea, Juzi walitembea Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa chuoni hapo
maafisa hao walipata fursa ya kupanda ikiwa ni ishara ya kuhamasisha
umma katika kutunza na kuhifadhi mazingira
No comments :
Post a Comment