HIKI NDICHO ALICHO KIFANYA DIAMOND!!!!! KATIKA TUZO ZA MTV
Hongera sana Diamond kwa ulipofkia, sio pabaya hata kidogo. Jipange next
tym utafanya vema sana. Watanzania tuhamishieni nguvu kwenye Tuzo
nyingine kama Kora, na BET. Tumuwezeshe huyu kijana wa Kitanzania.
No comments :
Post a Comment