Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano Haya Hapa
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulug(kushoto)akitangaza
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka
huu, huku idadi yao ikishuka kwa asilimia 13.34 ikilinganishwa na mwaka
jana.
No comments :
Post a Comment