Aliyewahi kuwa Mhadhiri wa chuo kikuu cha UDOM na Mkuu wa chuo cha Madini DR. MACHEYEKI (wa kwanza kutoka kushoto) siku chache zilizopita alikuwa ni miongoni mwa ujumbe ulio ambatana na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo kwa lengo la kutembelea kampuni ya BG iliyoko chini Uingereza.
Makao makuu ya Kampuni ya BG.

Mh waziri Muhongo akisalimia na CEO wa BG Chris.

Mh Waziri akitembelea makao makuu ya BG Group.

Mh Waziri Profesa Muhongo akipokea maelezo kutoka kwa injinia wa BG Group.

Presentation ikiendelea.
Mh Waziri akifuatilia ramani kutoka kwa msemaji wa kampuni ya BG.

Control room ya BG Group.


